Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie waache ujinga ..Hata mimi niliku nafaham hivyo, lkn nikabishiwa sana na watu wenqi kua hata kama speed itasoma sawa qari ina power kubwa so pikpk itaachwa tu.
Hivi kilo moja ya mawe na kilo moja ya pamba hipi ni nzito?!?!nimeuliz hapa sababu jamaa zanqu wenq kubisha kwamba pikpik itaachwa tu hata kam speed inasoma sawa.
hahhahaa kaka hata mimi niliwauliz hili swali. nikaishiw point sabab wawil kati yao wanamilik maqar xo wakatoa evidence kwamba hata maqari mawili yakitembea speed sawa eti lazima moja litatanqulia zaid kutokana na utafaut wa ukubwa wa tairi, injini n.kHivi kilo moja ya mawe na kilo moja ya pamba hipi ni nzito?!?!
kama pikipiki inatembea 80 na gari 80 hakuna itakayopita mwenzake.naomba jibu lako mkuu mana nataka nitumie hiz data kwenda kuanzisha tena mjadala.
Kama vitatembea speed hio hio basi vitafika muda sawa..
Waambie waache ujinga ..
Ingekuwa ni hivyo matrafic barabarani si wangekuwa na tochi za aina mbili...za gari kubwa na ndogo.
Hivi kilo moja ya mawe na kilo moja ya pamba hipi ni nzito?!?!
You are wrong my friends,kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika!!kama pikipiki inatembea 80 na gari 80 hakuna itakayopita mwenzake.
labda kwenye kuanza mwendo itakayoanza kuchanganya ndio itafika mapema lkn kama zinaondoka kwa pamoja zitamaliza pamoja
Ukifanya math effect ya air resistance ni ndogo kiasi kwamba effect yake ni negligible..You are wrong my friends,kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika!!
Wala,ndiyo maana kwa mfano pikipiki ukiendesha speed kubwa mfano kuanzia 100km/hr huwa inaanza kuhama barabara,maana yake air resistance ina effect kubwa!!Ukifanya math effect ya air resistance ni ndogo kiasi kwamba effect yake ni negligible..
Kwahio vyombo vitafika muda sawa
Unahama barabara lakini haimaanishi ile speed 100 inachange na kuwa 98 au lessWala,ndiyo maana kwa mfano pikipiki ukiendesha speed kubwa mfano kuanzia 100km/hr huwa inaanza kuhama barabara,maana yake air resistance ina effect kubwa!!
ngoja nikuwekee reference hapa ujisomee mwenyewe mkuu!Unahama barabara lakini haimaanishi ile speed 100 inachange na kuwa 98 au less
Mkuu soma hapa utapata mwanga kidogo,pia fungua hiyo link kwa maelezo zaidi ya kitaalam,hapa nimeweka kipande kidogo cha maelezo kutoka kwenye website husika:Unahama barabara lakini haimaanishi ile speed 100 inachange na kuwa 98 au less
Majibu yote ni sawa kulingana na utakavo litetea jibu lako.assume pikpik inatembea 80km/h, gari nalo linatembea 80km/h...Je, kuna uwezekano qari likafika mapema au kuiacha pikpik?
note: safar si ndefu mfano urefu wa 10km.
wataalam naomben majib mana tumebishan san hii mada.
Waulize vipi juhusu ndege? Hazina matairu zinapokua angani, je ndege kubwa na ndogo kwa same speed zitatofautiana?hahhahaa kaka hata mimi niliwauliz hili swali. nikaishiw point sabab wawil kati yao wanamilik maqar xo wakatoa evidence kwamba hata maqari mawili yakitembea speed sawa eti lazima moja litatanqulia zaid kutokana na utafaut wa ukubwa wa tairi, injini n.k
kwa kifupi kabisa hawawezi kufika sawa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Air resistance:Kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika
2.Ukubwa wa matairi:Kuna mmoja hapo tairi ni kubwa kuliko mwingine