Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
Wakuu habari ya nyie, mi naomba leo niwape promo hawa watu wa SpeedAf kwa kweli wananifurahisha sana.
Tar 5/09/2023 nilipress order yangu, shopping method ilikua ni cainniao global shipping, kama sijakosea, kwa uzoefu niliokua nao zamani ulikua ukitumia njia hii kwa usafiri, jiandae kusubiri miezi 3-mwaka au forever and ever, amen.
Ila kwa ujio wa SpeedAf hii ni mara ya pili naagiza parcel zangu na zinanifikia in less than 3 weeks.
Mzigo wangu nilioagiza tar 5/09/2023 umefika leo tar 18/09/2023. na hapo seller hakutuma mzigo siku hiyo hiyo, alituma tar 07/09/2023.
So ukitoa hapo utaona mzigo umetumia siku 11 tu, katika transport, na ingepita posta kama zamani kuna elfu 5 yao hapo kama sikosei lazima uwape hata uagize pilitoni.
NB: Vi parcel ninavyoagiza ni vidogo sana, vifaa vya PC na kadhalika, nna siku sijatumia AliExpress standard Shipping, so sjajua kama na yenyewe hua inapitia SpeedAf au ni posta(kwa mchawi mwenyewe).