nyumbani kwenu
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 152
- 152
Wakuu habarini, speedaf wanachangamoto gani sasa hivi? Nimeagiza package tangu tareh 15/6/24, speedaf wameuchukua tarehe 17/6/24, lakin cha kushangaza tangu tarehe 21/6/24 mzigo umemaliza proces zote za clearence, lakin ndege bado haijatoka airport tangu tareh 21/6/24.
Kuna yeyote anapitia changamoto kama ya kwangu, hawa jamaa sio kawaida yao mzigo kukaa muda mrefu hivi airport, au wamezidiwa na wateja?
Kuna yeyote anapitia changamoto kama ya kwangu, hawa jamaa sio kawaida yao mzigo kukaa muda mrefu hivi airport, au wamezidiwa na wateja?