nyumbani kwenu
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 152
- 152
Bado wako ontime sana mpka leo ni siku 18 hivi relax haya mambo ya online purchase yanataka uvumilivuWakuu habarini, speedaf wanachangamoto gani sasa hivi? Nimeagiza package tangu tareh 15/6/24, speedaf wameuchukua tarehe 17/6/24, lakin cha kushangaza tangu tarehe 21/6/24 mzigo umemaliza proces zote za clearence, lakin ndege bado haijatoka airport tangu tareh 21/6/24.
Kuna yeyote anapitia changamoto kama ya kwangu, hawa jamaa sio kawaida yao mzigo kukaa muda mrefu hivi airport, au wamezidiwa na wateja?
ni kwel bado wako ontime lakin sio kama previous package nilizoagiza, zilikua zinatumia 2weeks only had kunifikia.na sio kwamba naona wamechelewa ila nahisi kutakua na changamoto tuBado wako ontime sana mpka leo ni siku 18 hivi relax haya mambo ya online purchase yanataka uvumilivu
Tuma screenshot ya tracking itatupa mwanga pa kuanzia.
ni kwel bado wako ontime lakin sio kama previous package nilizoagiza, zilikua zinatumia 2weeks only had kunifikia.na sio kwamba naona wamechelewa ila nahisi kutakua na changamoto tu
asante sana mkuu, tracking ni kama inavyoonesha hapa, tangu tareh 21/6, mzigo ulishamaliza process za clearence, tayar kwa kuanza safar ya kuja tz,lakin tangu tarehe iyo mzigo umestack, had leo haujatoka airpot, na nina mizigo kama mitatu hivi nilifanya order same day yote imestack airport,kwa uzoefu wangu ikifika hatua iyo not more than 3days ndege inaanza safarChangamoto hio ndio iliomufanya hadi ufungue uzi mkuu,tracking system zao zinakupa detailz zipi zinazokupa mashaka mpka uyaseme hayo
sijui kutakua na changamoto gan, nilijaribu kuwasiliana nao hawatoa majibu ya kuridhisha wanasema nisubiri tuHata mm hivyo hivyo wanasema we can track package in destination country,,, mm ninamizigo 2 daah
mkuu iyo mizigo ndio leo imeflight kuja TZ, imekaa sana airport, sa hivi sijui kuna changes ganWakuu nimeagiza pia vp bado hamjapokea
Naona ndio imeanza kutembea tenasijui kutakua na changamoto gan, nilijaribu kuwasiliana nao hawatoa majibu ya kuridhisha wanasema nisubiri tu
Nimeagiza hata mimi,lakini sina hofu najua mzigo utafika tuni kwel bado wako ontime lakin sio kama previous package nilizoagiza, zilikua zinatumia 2weeks only had kunifikia.na sio kwamba naona wamechelewa ila nahisi kutakua na changamoto tu
kila mkoa kuna wakala,lakin baadhi ya mikoa kuna ofisi, mzigo ukishafika kwa wakala wa mkoa wako atakupigia simu uende ukachukue mzigo wako.Sorry mkuu,utaratubu wao wa kupata mzgo ukoje hasa kwa sisi tulio mikoani?
Toka tarehe 29/07 umefika lakini kimya mpaka sasaWakuu habarini, speedaf wanachangamoto gani sasa hivi? Nimeagiza package tangu tareh 15/6/24, speedaf wameuchukua tarehe 17/6/24, lakin cha kushangaza tangu tarehe 21/6/24 mzigo umemaliza proces zote za clearence, lakin ndege bado haijatoka airport tangu tareh 21/6/24.
Kuna yeyote anapitia changamoto kama ya kwangu, hawa jamaa sio kawaida yao mzigo kukaa muda mrefu hivi airport, au wamezidiwa na wateja?
Mm wa kwangu toka tarehe 29/07 umefika Tz lkn mpaka leo sijui upo wapWakuu habarini, speedaf wanachangamoto gani sasa hivi? Nimeagiza package tangu tareh 15/6/24, speedaf wameuchukua tarehe 17/6/24, lakin cha kushangaza tangu tarehe 21/6/24 mzigo umemaliza proces zote za clearence, lakin ndege bado haijatoka airport tangu tareh 21/6/24.
Kuna yeyote anapitia changamoto kama ya kwangu, hawa jamaa sio kawaida yao mzigo kukaa muda mrefu hivi airport, au wamezidiwa na wateja?