Sperm analyisis inapimwaje???

manii yanapaswa kutolewa saa moja kabla ya kupimwa hivyo kama nyumbani ni karibu unaweza kutolea nyumbani ila kuna hospitali moja nilienda kupima kuna chumba kimetengwa kiko jirani na maabara,
waweke movie za pono, kupigia nyeto hospital sio rahisi sana!
 
kama vipi unaweza kwenda na mwenza wako,unapiga mzigo wazee wakita kutoka unaekezea kwenye ki container
Sex/nyeto inapaswa itekelezwe secretly , ikishakuja habari ya kutekeleza kwa maelekezo fulani ubongo unashindwa kutoa ushirikiano wote!
 
Zoezi LA kutoa sperm kwa ajili ya kupima lina utaratibu wake .
Utatoa sperm kwa kupiga punyeto
Huruhusiwi kuweka mate,mafuta wala sabuni
Huruhusiw kushiriki na mke
Ukifanya hayo sperm zitakufa hautapata majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…