Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Gharama zinatofautiana na hospital, Ila haizidi 30,000Hello jf doctors...
Naomba wajuzi wa hili likipimo wanijuze, na gharama zake zipoje na hospital gan wanakipima kwa ufasaha zaidi..
Akhsanteni
Akhsante ndugu.Gharama zinatofautiana na hospital, Ila haizidi 30,000
Hospital zote za Wilaya na vituo vya afya vikubwa vinapima hicho kipimo,
OK, yeah utapiga nyeto tu kwani siku moja tu utadhurika? Kwanini umeenda kupima Sperm analysis? Hujampa mimba Shem Muda mrefu auAkhsante ndugu.
Nilifanikiwa kupita tmj , wameniambia ni 45,000 . Ila mtiti ni kwamba lazima nikatoe wareno pale pale,
Kupiga chaputa hospitali duuh[emoji22][emoji22]
A bit complicated, ila kitambo aisee, then kapima wakadai yupo sawa,OK, yeah utapiga nyeto tu kwani siku moja tu utadhurika? Kwanini umeenda kupima Sperm analysis? Hujampa mimba Shem Muda mrefu au
Hapo walichodai ni CHAPUTA tu hakuna namna, ... Ila fresh ntakumbukia boarding tu.Kama hapo hospitali kuna examination room unazungumza na dr wanakupa kifaa cha kuwekea mnaingia na wife zikikaribia kutoka unachomoa unazielekeza kwenye kifaa ulichopewa unazikimbiza maabara!
Unapigaje kunakuwa na nurse katanua paja auHapo walichodai ni CHAPUTA tu hakuna namna, ... Ila fresh ntakumbukia boarding tu.
Hichi kitu ciwezagi aiseeh naona kama naumia ....Kama hapo hospitali kuna examination room unazungumza na dr wanakupa kifaa cha kuwekea mnaingia na wife zikikaribia kutoka unachomoa unazielekeza kwenye kifaa ulichopewa unazikimbiza maabara!
Okay, nenda ukapime then lete majibu tukupe ushauri namna ya kuondokana na hilo tatizoA bit complicated, ila kitambo aisee, then kapima wakadai yupo sawa,
So its my turn
Azitakiwi zikae zaid ya masaa mawili sababu hua wanaangalia motility,viscosity,volume na vingnevyo so ukitolea home huenda ukazichelesha hospitali.kwa iyo ndio hivyoo.hongera kwa kupima mkuu.Akhsante ndugu.
Nilifanikiwa kupita tmj , wameniambia ni 45,000 . Ila mtiti ni kwamba lazima nikatoe wareno pale pale,
Kupiga chaputa hospitali duuh[emoji22][emoji22]
Mkuu nitakutafuta private tuyajenge aiseeOkay, nenda ukapime then lete majibu tukupe ushauri namna ya kuondokana na hilo tatizo
Karibu sana,Mkuu nitakutafuta private tuyajenge aisee