chipalila1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 259
- 32
Mimi nadhani ingekuwa vizuri sana ukaenda hospitali ya Rufaa Mbeya kisha ukaonana na wataalamu wakawafanyia uchunguzi ili kama wakishindwa wakupe barua ya rufaa kwenda hospitali ya Taifa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi, ninaamini kwamba hata hospitali ya Rufaa Mbeya ina wataalamu wa kutosha na itakupunguzia usumbufu na gharama.
Mbona umeshajichagulia kipimo cha kujipima kwenye title yako wakati haujajua bado tatizo linaanzia wapi mkuu!?
mbeya hamna hospitali ya kucheki hilo tatizo lako brother. Nenda TMJ hospital au Regency hospital kaka. pole sana, Mungu atawasaidia tu.
mbeya hamna hospitali ya kucheki hilo tatizo lako brother. Nenda TMJ hospital au Regency hospital kaka. pole sana, Mungu atawasaidia tu.
Hospitali kama Aga Khan, Regency ndiyo nazifahamu.
vp ndg kwa agakan na regenc zkoje?
Zipo fresh kuhusu kufanya huo uchunguzi
sio solutionnenda muhimbili achana na mbeya