spermicides

ossy

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
872
Reaction score
143
wakuu heshima yenu,wakuu hivi hii SPERMICIDE nini? na inatumikaje? naomba mtujuze sisitusiojua! nawasilisha!
 
Spermicides ni chemical fulani ambazo huua sperms cells (manii) zinapomwagwa ukeni wakati wa tendo la kujamiiana ili kukinga mimba (contraceptive). Inaweza ikawekwa kama sponge ukeni wakati wa tendo, huwa zinakuwa kwenye condoms (kiume na kike), au kwenye kifuniko cha singo ya uzazi (cervical cap). Kinachofanya ni kuwa hiyo chemical huua sperm cells hivyo haziwezi kurutubisha yai na kutunga mimba.

NB: Spermicides hazizuii maambuki ya HIV!
 
<br />
<br />mkuu inapatikanaje? Afu inakuwa attached kweny condoms au zinajitegemea! Nahitji!
 
inapatikana kwenye duka la dawa. lakini efficiency yake sio nzuri sana, ajali inaweza kutokea. ungeenda kwa watoa huduma za uzazi wa mpango ungeshauriwa options nzuri zaidi. zingatia alichosema riwa hapo: haizuii ukimwi!
<br />
<br />mkuu inapatikanaje? Afu inakuwa attached kweny condoms au zinajitegemea! Nahitji!
 
Nimekusoma kaka,Pamoja!!
inapatikana kwenye duka la dawa. lakini efficiency yake sio nzuri sana, ajali inaweza kutokea. ungeenda kwa watoa huduma za uzazi wa mpango ungeshauriwa options nzuri zaidi. zingatia alichosema riwa hapo: haizuii ukimwi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…