Sperms za mwanaume huwa zinaenda wapi?

Ule unakuwa ni uchafu, aina ya mucus pindi mwanamke anapokojoa, yanatoka tu, na anapojisafisha anayatoa , mwanamke ,asipoyatoa bacteria wanakaa, yanasababisha ,magonjwa ya zinaa, kama, fungasi, uti, n.k. na ndo maana, inashauriwa, usikojolee ndani, mnawasababishia shida wanawake, labda kwa madhumun ya kutafuta mtoto hapo sawa. Wee unamwagia tu, umeambiwa choo ,hichoo, 3kutwax3. Maumbile ya wanawake hayaflashk haraka kama choo. Ndo maana, wanawake, weng ma uti, miwasho, fungus's, hayaishi, kwa ajili ya mabwege kama weee, badilika.
 
Daaah wewe utakuwa mkorofi kwenye sex, pia jamaa akikukojelea unatamani umzabe vibao
 
Hakuna mwingereza hapa wala mmarekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…