ComputersDAR
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 213
- 242
weka picha acha ubabaishaji mkuu..Nauza viatu vya Sperry Top Sider US Size 8.5M.
Viatu ni pair mojq tu na ni vipya kabisa bila boksi.
Sababu ya kuviuza ni kugundua viatu vina size ndogo baada ya kuwasili kutoka USA.
Bei 190,000.
Hivi ni quality boat shoes ya brand yenye jina kubwa aka Sperry.
Wasiliana 0625536529
Itakuwa ni kama size 42 mkuu ningekuuzia kwa hiyo beiKwa namba kubwa ni ngapi??? Kama ni 43 njoo nikupe 150k
Itakuwa ni kama size 42 mkuu ningekuuzia kwa hiyo bei
Navaa namba 9.5 mkuu ambayo ni sawa na 43 & 1/3Kwani ww unavaa namba ngapi hadi imegoma?