Mbona watoto wenyewe wazungu pure kabisa?[emoji599]watoto wa Jackson kulipwa pesa kila mwaka
Kwa mujibu wa gazeti kubwa nchini Uingereza "Mirror", watoto wa tatu wa Michael Jackson ambao ni, Paris, Prince pamoja Na Blanket, watakua wanapokea kiasi cha Euro milioni 300 kila mwaka Kama malipo ya nyimbo za Baba yao .
Hayo yanajiri wakati Hayati Jackson nyimbo zake hadi sasa Bado zinatumiwa sehemu mbali mbali japokua hayupo tena duniani
View attachment 2310657
Ebo! Huyu de libolo lilikuwa halifanyi kazi?Alipandikiza mbegu kwa mama mdhungu.. MJ hakuwahi kufanya ngono
[emoji134]Alipandikiza mbegu kwa mama mdhungu.. MJ hakuwahi kufanya ngono