Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Michezo ya wanaume ni ya kipuuzi nilikua na klip moja watoto wa kiume wanarukia mtoni ni hatari anapotumbukia mwenzie ndipo yeye anaporukia range ni sekunde hata hawaogopi kugo gana vichwa
 
Michezo ya wanaume ni ya kipuuzi nilikua na klip moja watoto wa kiume wanarukia mtoni ni hatari anapotumbukia mwenzie ndipo yeye anaporukia range ni sekunde hata hawaogopi kugo gana vichwa
Sio upuuzi ni ujasiri, upuuzi ni kule mtoto wa kiume kucheza mchezo wa baba na mama naye kufanywa kuwa mama [emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…