Baadhi ya Wananchi wa Mtaa wa Mlenda wameitaka serikali ichukue hatua kali kwa wazazi waliohusika kumfanyia vitendo vya kikatili mtoto wao Hadija Abdallah (7) baada ya kumpiga kisha kumuwekea Pilipili sehemu za siri kwa kosa la kutokujaza maji kwenye diaba. Akizungumza na Muungwana Blog...