Imeniuma sana😭😭😭😭 ninavyopenda watoto
Kwa nn sasa asingchukua huyo mtoto akamsaidia kama ilikuwa inawezekana lakini???Yeah jamaa akapata tuzo lakini naye akaja kujimaliza kwa sumu
Naomba sababu ya kutompa asali mtoto chini ya mwaka mmoja??
🤣🤣🤣🤣🤣 nilikuwa na tabia kama hii shambani kwetu
🤣🤣🤣
Naomba sababu ya kutompa asali mtoto chini ya mwaka mmoja??