God must be crazy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mdogo angu ananyonya kidole hadi saiv, ingawa ndo yupo ndan ya mtihani wa kumaliza ACSEE.
Ooh Yes!God must be crazy
matukio yapi tena? Mbona kama vile bado mdogoila huyu mtoto ana matukio jaman
nawaonea huruma wazazi wake
Mungu amuokoe tu kwa kweli.