Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Your browser is not able to display this video.
 
Please ikiwa unajua yatima katika chuo kikuu chochote cha umma ambaye yuko katika hatihati ya kuacha shule kwa sababu ya shida ya kifedha au mtu yeyote mwenye mazingira magumu sana, mwambie mtu huyo atume barua yake kwa: inspafrica@yahoo.com.
Sambaza ujumbe huu kwa vikundi vingine ili wengine wafaidike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani bro tunaomba information kuhusu tangazo hili
na pia hili tangazo ni la mwaka gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…