Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya ulinzi wa mtoto (international day for child protection)
shirika la Raising up friendship foundation (RUFFO) Pamoja na kampuni ya KUKAJA Kwa kushirikiana na wadau wameandaa SITANYAMAZA CHILDREN FUN RUN itakayofanyika tarehe 30/5/2021, kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Watoto wote wa kike na wa kiume kuanzia miaka 6_17 wanakaribishwa kujiandikisha ili wapaze sauti zao na kuvunja ukimya watakapofanyiwa ukatili kupitia kampeni ya SITANYAMAZA NITASEMA UKATILI UNAUA NDOTO ZA MTOTO
Wazazi,walezi huu ni wakati wa kuwashirikisha watoto zetu kusimamia ulinzi na usalama wao. Wadau mnakaribishwa
Kujisajili piga namba
0765670746-HILDA NGAJA
0629 848905 - MULLA MWAKIBETE