Sijui wenzetu wao wamewezaje had ss tushindwe kwa kila kitu
Alaf et wao hawana mitiani kwa wanafunzi wao had wafike grade(nikama huku tunavyosema darasa) 4 au umri miaka 10, wanaamini kuanzia chekechea had grade 4 ni sehemu ya kumjenga mtoto.kimaadili zaidi
Aisee !Usafiri hatari kuliko usafiri mwingine wowoteView attachment 1803236
Mwanadamu anaweza kubadilisha kiumbe yoyote na kumtumia anavyotaka.Aisee !