Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Your browser is not able to display this video.
 
Hii stori huwa hainitoki kichwani aisee. Nilisoma makala fulani kuhusu aliyepiga picha hii-- alikufa kifo cha kutatanisha. Taarifa zisizothibitishwa zinadai alijiua baada ya nafsi kumsuta kwa kitendo hiki. Wengine wanadai maneno mengi toka kwa wakosoaji yakamvuruga na kusababisha kujiua. Wakosoaji wanadai alikuwa yupo kimaslahi zaidi, yani kuchukua picha za kutamausha kama hizi na kuziuza kwenye media za kimataifa kupata fedha. Wanaongeza kuwa hata kama alimsaidia huyu mtoto, picha haioneshi kumsaidia mtoto,bali inamuongezea jamaa utajiri kwa kuiuza ghali zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…