Ii picha ilishake dunia nzima, ilipigwa na jamaa Somalia,.. Uyu mtoto alikua anaenda kweny camp ya chakula, wakapita maafisa wa UN, na mpiga picha,... Wakamwambia asimsogelee uyu mtoto kwa sababu anaweza kua na magonjwa yakuambukiza,... Wakamwacha apo, uyo Tai anasubiri uyo dogo afe amle,.. Hakuna anayejua kama dogo alifika camp ya chakula.. Very sadddd