Spesho Kwa Mashabiki wa SIMBA tu

Spesho Kwa Mashabiki wa SIMBA tu

Rais Wa Malofa

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
683
Reaction score
782
Mimi ni shabiki kindakindaki na mwanachama aliyetukuka wa Simba Sports Club.

Nikiwa kama shabiki na mwanachama wa Club yetu pendwa ningependa kuwa wakala wa kuuza jezi na kugawa kadi mpya za Simba huku mkoani kwetu.

Kama kuna mwenye kufahamu utaratibu wa kuwa wakala wa Club yetu pendwa namuomba anipe muongozo ili tuzidi kuipeleka Club yetu level za kimataifa kwa pamoja.

Natanguliza Shukrani.
IMG_20191216_144023_034.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samani mleta uzi naenda nje kidogo ya uzi wako, mi naomba kufahamu gharama ya hiyo kadi ni sh. ngapi na annual fee ni kiasi gani.
 
Mkuu mahaba mpaka kwenye biashara! we tafuta hata uwakala wa chezi za vyura shida iko wapi!
Huo n itani tu ...ingekuwa hutaki kuuza jezi za CCM hapo ungeeleweka!
 
Back
Top Bottom