Mimi ni shabiki kindakindaki na mwanachama aliyetukuka wa Simba Sports Club.
Nikiwa kama shabiki na mwanachama wa Club yetu pendwa ningependa kuwa wakala wa kuuza jezi na kugawa kadi mpya za Simba huku mkoani kwetu.
Kama kuna mwenye kufahamu utaratibu wa kuwa wakala wa Club yetu pendwa namuomba anipe muongozo ili tuzidi kuipeleka Club yetu level za kimataifa kwa pamoja.
Mkuu mahaba mpaka kwenye biashara! we tafuta hata uwakala wa chezi za vyura shida iko wapi!
Huo n itani tu ...ingekuwa hutaki kuuza jezi za CCM hapo ungeeleweka!