Spesho kwa wanawake: Huwa unafanyaje mkonga ukigoma kusimama?

Sema kama mwanzoni mkonga unasoma 4G alafu akitaka kuingiza unalala basi hapo inabidi timing ifanyike maandalizi yasiwe makubwa sana ili mkuyenge ukishasoma 4G tu unaupeleka kunako dimba la mkapa ukafanye yake
 
Upewe blue tick
 
Huu uzi ilitakiwa na wanaume wafungukee!!
Dunia ilipofikia nguvu za kiume zipo kwenye wallet na mpangilio mzuri wa chakula.

Kwenda round nyingi inategemea na utundu wa mwanamke, wanawawake pia hawafanani kuna wenye wanafuga mikucha kama jini Maimuna bila kujuwa kuzitumia kwenye sita kwa sita kusimamisha Antena haraka baada ya first round.
 
Mwambie aache puchu
Au jitahidi kuwa msafi
Suala la matatizo siyo kweli
Ule mda hata huyakumbuki
Matatizo utayakumbuka baadae
Uchafu nao huwa unafanya tukipiga shot moja tubaki tunajuta kuwa na wewe hapo
Kwa maana hiyo mashine huwa ina sizy

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Saa nyingine ni tatizo la kiubinaadamu tu kama akili yake haipo sawa matatizo mengi inaweza tokea hivyo Na haina haja ya kumnunia unatakiwa kumfariji
Ogopa hii kitu, sio wote wanaoweza kuchukulia ni tatizo LA kibinadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…