Spid ya 'WasouzAfrica' Yaivuruga Misri AFCON 2019

spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
3,599
Reaction score
3,226
Kiwango cha Africa kusini siku ya leo ni tishio sana. Shoots on targets, shoots offtarget, speed, possession nk

Vijana wa bondeni wanasakata kandanda utadhani Club zinacheza. Timu inauelewano mkubwa sana as if wamekuwa pamoja mwaka mzima wakijifua.

Kila la kheri SA
 
Washalala Waarab
 
Back
Top Bottom