mwenyeKitu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 946
- 771
Siku ukipata Ajali utajifunzaEmbu wadau tujuzane ....iam sick and tired of this napenda kuendesha my PVT car kuanzia spidi 100kmph kwenda juu... chini ya hapo naona gari kama haitembei ...can anyone help. ..wewe unawezaje kujizuia kwenda spidi
Valentino mzima?Acha hizo
[emoji15] ValentinoValentino mzima?
Kwa kitaliano jamani....We unadhani yule muitaliano wa Mwamvita angekuitaje..... Anyway Valentina[emoji15] Valentino
Valentino mwanaume banaKwa kitaliano jamani....We unadhani yule muitaliano wa Mwamvita angekuitaje..... Anyway Valentina