ONA AIBU WASI.....wewe nae ni mwanahabari UNAEJIELEWA KWELI????sisi wanahabari tunaojielewa na kuhoji tunatafutwa sana
Wewe hapa haumo lakini!!!sisi wanahabari tunaojielewa na kuhoji tunatafutwa sana
Ukweli mnaujua wenyewe, mnapewa hela kuchafua serikalisisi wanahabari tunaojielewa na kuhoji tunatafutwa sana
Safi sana, angalau unawajua wanaoujua ukweli. Kwa hiyo wewe ni muongo na hiyo hoja yako ya kupeana hela.Ukweli mnaujua wenyewe, mnapewa hela kuchafua serikali