Heri ya mkoloniZilikuwa zama za giza totoro
hajawahi kusema walimfanya niniBaada ya mahojiano haya Pascal Mayalla ali convert moja kwa moja.
Mayalla wa Leo sio yule wa Kiti MotoBaada ya mahojiano haya Pascal Mayalla ali convert moja kwa moja.
Japo na mimi pia ni binadamu na kuna maeneo nilitumia lugha isiyo faa, ila kiukweli baada ya kuitwa huku, nilibadilika na kuwa mzalendo zaidi, hii ya kuitana na kuhojiwa na kamati, iliyokuwa ndio fimbo ya JYN aliotumia kuficha udhaifu wake katika kuongoza Bunge.Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"
View attachment 742128
Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili 2018.
Taarifa zaidi zinafuata...
Hongera kaka,wao wakikuwa na mamlaka, wewe ulikuwa na Kalamu, na imetenda kazi.!Japo na mimi pia ni binadamu na kuna maeneo nilitumia lugha isiyo faa, ila kiukweli baada ya kuitwa huku, nilibadilika na kuwa mzalendo zaidi, hii ya kuitana na kuhojiwa na kamati, iliyokuwa ndio fimbo ya JYN aliotumia kuficha udhaifu wake katika kuongoza Bunge.
Sasa imejitokeza fursa, tuitumie.
P