Spika ajue kwamba mpina kuna watu wengi wako nyuma yake ambao hawakubaliani na mambo yanayofanywa na serikali.

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DR.Tulia Ackson afahamu kuwa ushahidi na nyaraka alizozipata mpina hajazitafuta yeye mwenyewe Bali kuna watu wapo nyuma yake wamechoshwa na wizi unaofanywa na viongozi wa serikali.

Kimsingi naona spika hapa anaenda kutoaminika kwa umma kwa kile anachomfanyia mpina
 
Mwache aendekeze tumbo, u spika sio wa milele na cheo dhamana.
 
Spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DR.Tulia Ackson afahamu kuwa ushahidi na nyaraka alizozipata mpina hajazitafuta yeye mwenyewe Bali kuna watu wapo nyuma yake wamechoshwa na wizi unaofanywa na viongozi wa serikali.

Kimsingi naona spika hapa anaenda kutoaminika kwa umma kwa kile anachomfanyia mpina
Mpina anataka kujifikisha mahali- akichukuliwa hatua kaonewa na akiachwa kaogopwa. Huu nao ni ukichaa fulani.
 
Spika sio kila kitu mbungeni atangaze kutaka ushahidi, atasababisha ugomvi wa wanaccm wenzie na kuianika serikali. Mambo mengine awe anamaliza ndani kwa ndani. Watu wanajifanya kuropoka huku kibindoni wameficha nondo wanasubiri ujichanganye kutaka ushahidi wanamwaga hadharani baadaye mnaanza kutazama.
 
Umeelewa alichosema Spika?Mpina katumwa kwenye kamati kwa kutofuata kanuni za Bunge lakini pia ameagiza ushahidi wa Mpina upitiwe na apewe ripoti Jumatatu tarehe 24 June 2024.
Hakuna kilichofichwa wala hakuna anayelindwa.Wacheni kukurupuka na kuzusha.
 
Majibu mujarabu hatimaye yatapatikana tu,wanatoka mmoja baada ya nwingine kwa mujibu wa mwalimu wa darasa la uongozi😁
 
Tungekuwa na bunge linaloongozwa na spika wanaojitambua kama bunge la Kenya,Rwanda, Uganda au Rwanda spika angekuwa amechukua hatua dhini ya serikali hii ya kilaghai.Na Kwa kuwa bunge la tz ni kibogoyo litaendeleza ukibogoyo wake hata kwenye mambo ya msingi kama anayoyaibua mpina.
 
Na wananchi ifike mahari tuache uzombi yaaan hela wanazozichezea ni kodi tunazo zilipa kwa nn hawa viongozi tunawaacha tu jamani tuacheni ufala hii nchi ni yetu kwa nn watu fulani wajifanye ni yao ,😇
 
Spika sio kila kitu mbungeni atangaze kutaka ushahidi, atasababisha ugomvi wa wanaccm wenzie na kuianika serikali. Mambo mengine awe anamaliza ndani kwa ndani. Watu wanajifanya kuropoka huku kibindoni wameficha nondo wanasubiri ujichanganye kutaka ushahidi wanamwaga hadharani baadaye mnaanza kutazama.
Anaingizwa mtegoni,halafu badala ya kuvua miwani aone vizuri yeye anaigusa usawa wa pua na kuomba ushahidi harakaharaka.Funny!
 
Back
Top Bottom