Mwache aendekeze tumbo, u spika sio wa milele na cheo dhamana.Spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DR.Tulia Ackson afahamu kuwa ushahidi na nyaraka alizozipata mpina hajazitafuta yeye mwenyewe Bali kuna watu wapo nyuma yake wamechoshwa na wizi unaofanywa na viongozi wa serikali.
Kimsingi naona spika hapa anaenda kutoaminika kwa umma kwa kile anachomfanyia mpina
Mpina anataka kujifikisha mahali- akichukuliwa hatua kaonewa na akiachwa kaogopwa. Huu nao ni ukichaa fulani.Spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DR.Tulia Ackson afahamu kuwa ushahidi na nyaraka alizozipata mpina hajazitafuta yeye mwenyewe Bali kuna watu wapo nyuma yake wamechoshwa na wizi unaofanywa na viongozi wa serikali.
Kimsingi naona spika hapa anaenda kutoaminika kwa umma kwa kile anachomfanyia mpina
Sawa tu!! Acha awatoe mashimoni nyie mapanya bukuMpina anataka kujifikisha mahali- akichukuliwa hatua kaonewa na akiachwa kaogopwa. Huu nao ni ukichaa fulani.
Alishindwa Sitta ataweza MpinaSawa tu!! Acha awatoe mashimoni nyie mapanya buku
Ni muda tena huu🤭Haya mambo yalisababisha mtu akivaa nguo ya ccm anazomewa
Majibu mujarabu hatimaye yatapatikana tu,wanatoka mmoja baada ya nwingine kwa mujibu wa mwalimu wa darasa la uongozi😁Umeelewa alichosema Spika?Mpina katumwa kwenye kamati kwa kutofuata kanuni za Bunge lakini pia ameagiza ushahidi wa Mpina upitiwe na apewe ripoti Jumatatu tarehe 24 June 2024.
Hakuna kilichofichwa wala hakuna anayelindwa.Wacheni kukurupuka na kuzusha.
Anaingizwa mtegoni,halafu badala ya kuvua miwani aone vizuri yeye anaigusa usawa wa pua na kuomba ushahidi harakaharaka.Funny!Spika sio kila kitu mbungeni atangaze kutaka ushahidi, atasababisha ugomvi wa wanaccm wenzie na kuianika serikali. Mambo mengine awe anamaliza ndani kwa ndani. Watu wanajifanya kuropoka huku kibindoni wameficha nondo wanasubiri ujichanganye kutaka ushahidi wanamwaga hadharani baadaye mnaanza kutazama.