Spika dhaifu anapoamini ni shujaa

Spika dhaifu anapoamini ni shujaa

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
3,197
Reaction score
7,677
Kati ya tabia mbaya kabisa za mwanadamu ni unafiki. Mnafiki ni mtu hatari maana anaweza kukusifia ukiwa naye, ukigeuka anaweza kuwa kiongozi wa kukuwekea mitego ya kukuangusha.

Nchi yetu imejaa watu wanafiki. Viongozi wanatoka miongoni mwa jamii. Ukiona viongozi wamejaa unafiki, utambue kuwa jamii imejengwa na watu wanafiki, japo watu wakweli, waadilifu na wakweli wa nafsu hawatakosekana. Lakini, pale ambapo mfumo katika jamii unaruhusu mnafiki kuthaminiwa zaidi kuliko mtu mkweli, lazima wanafiki wataendelea kuongezeka.

Ebu fikiria yafuatayo:

1) Hakuna asiyejua namna spika wa bunge, Ndugai alivyokuwa mtu wa katibu wa marehemu. Tofauti na awamu nyingine zote, hakuna tukio, hata baadhi ya matukio madogo yaliyofanyika ikulu, ambayo Ndugai hakuhuduhuria. Na wakati wote alipokea maagizo toka kwa Rais na kuhalalisha Bunge kuwa ni taasisi iliyo chini ya serikali/Rais. Ilifikia mahali mpaka Rais alimwagiza spika kuwa awashughulikie wabunge wa upinzani bungeni, akiwatoa nje, huko nje yeye Rais atawashughulikia. Kilichokuwa kikitokea kila mmoja anafahamu. Ni spika huyu huyu alimwaga sifa kedekede kwa Rais za kusifia uamuzi wa Rais wa wakati huo wa kufuta mradi wa bandari. Baada ya kifo cha Hayati Magufuli, spika akawa miongoni mwa watu wa mwanzo kutamka kuwa kufuta mradi wa Bagamoyo lilikuwa kosa.

Leo bunge linaonekana halina maana kwa sababu unafahamu wazi kuwa kila ilichoamua Serikali kikapelekwa bungeni, ndicho kitakachokuwa. Bunge hili kiinimacho ambalo upatikanaji wake ni kiinimacho pia, leo hata lisipokuwepo, hakuna athari yoyote kwa sababu hutehlgemei kupata kitu tofauti na kile ambacho serikali inataka.

Bunge oamekuwa ni mahali pa kuhalalishia baadhi ua watu kupatia pesa lakini siyo mahali unapotarajia kuwa mijadala mizito inayohusu ustawi wa watu na kusutwa kwa serikali na vyombo vyake pale wanaposhindwa kuleta mabadiliko chanya katika maisha ya watu.

Bunge limekuwa dhaifu, limepoteza muelekeo wa kiutendaji lakini kila anayelikumbusha Bunge kutimiza wajibu wake, Spika anatoa vitisho, akiamini kwa kufanya hivyo ataonekana ni shujaa, wakati kiuhalisia anazidi kudhihirisha yeye spika na bunge lake walivyo dhaifu kupindukia.

2) Nape aliwahi kunaswa akimsema vibaya Rais Magufuli, baadaye akaenda kuomba msamaha, tena baadaye akaanza kumsifia Rais. Sasa tena amelaumu serikali ya Rais Magufuli kwa kuchukua mikopo mikubwa kwa usiri, na hivyo amependekeza kufanyike auditing maalum. Hoja yake inaweza kuwa ni ya msingi, lakini siku zote usimwamini mnafiki. Mnafiki hubadilika wakati wowote kwa sababu yeye huongozwa na maslahi binafsi.

3) Rais Samia alikuwa msaidizi wa Rais Magufuli. Japo alikuwa msaidizi wake, lakini sikuwahi kumsikia akimsifia Rais kwa lolote. Anayoyafanya sasa yanaashiria hakuwa pamoja na Rais Magufuli. Lakini, aliwezaje kufanya kazi na mtu ambaye alitofautiana naye kabisa kimtazamo? Kwa maneno yake, - anaifungua nchi (ina maana marehemu aliifungia nchi), tunafufua uchumi kwanza (ina maana marehemu aliua uchumi), tunafufua mahusiano ya kimataifa (ina maana marehemu aliharibu mahusiano ya kimataifa), tunarekebisha nchi ili iheshimu haki za binadamu na demokrasia (ina maana marehemu aliua haki, uhuru na demokrasia). Haya yote ni kweli, lakini kwa nini wakati wa utawala wa marehemu hakuna kiongozi yeyote aliyeweza kuwa na ujasiri wa kuyasema mabaya yaliyokuwepo wakati wa awamu ya 5?

4) Gambo akiwa RC wa Arusha, ndiye aliyesimamia zoezi la kupora pesa za kigeni kutoka kwa wamiliki wa maduka ya fedha za kigeni. Baada ya kifo cha Magufuli, Gambo ametamka wazi kuwa zoezi lile ulikuwa ni uporaji, na walioporwa, serikali iwarudishie pesa yao.

Kwa kawaida unafiki hunawirishwa na watawala wanaopenda sifa, madikteta na ambao uwezo wao wa kuongoza ni duni. Hivyo baadhi ya watu, kwa kutumia uwezo mdogo wa kiongozi aliyopo madarakani, huamua kwa unafiki kusifia kila kitu ili malengo yao yapate kutimia.

NB: Mtu mnafiki amelaaniwa maana ameiharibu nafsi yake na kuamua kuwa mtumwa wa mwanadamu mwenzake.

Viongozi wanafiki, ambao wanaamini walilazimika au walijilazimisha kuwa wanafiki, na sasa wanataka kuziishi dhamira za nafsi zao, watoke hadharani, watamke bayana, wajutie na kuomba msamaha, ili waweze kuaminika. Mnafiki hastahili kuaminika kwa lolote. Na watu wema wajihadhari sana na watu wanafiki.

Si jambo la ajabu katika nchi kuwa na watu werevu, wajinga, wanafiki, waongo, taahira, wendawazimu na vichaa. Jambo la ajabu hasa, ni kuona watu wajinga, wanafiki au wendawazimu wanapokuwa viongozi wa watu werevu!
 
Labda nikusaidie kwa upeo wangu wa ufahamu kuhusu mambo ya nchi yetu unajua kwanini wanakuwa wanafki sio wao hata huku uraian kwenye makampuni ya wahindi yapo vina sababishwa na umasikini na ubungufu wa Ajira kwenye point yetu kwanini wabunge wetu wanafki hipo hivi tatizo ni katiba yetu imeimpa raisi mamlaka makubwa na mbaya zaidi huyo raisi ndio mwenyekiti wao ndani wa Chama chao (boss wake wa nchi + boss wake kwenye chama chake) mfano mbowe akisema tutoke bungeni basi nao wanatoka atakae kataaa mwenyewe utamuonea huruma na majina Kibao watampa. Kwa ufupi ndivyo tulivyo tupo wengi mkuu
 
Spika dhaifu, wabunge dhaifu bunge nalo dhaifu definitely serikali nayo itakuwa dhaifu tu
 
Kati ya tabia mbaya kabisa za mwanadamu ni unafiki. Mnafiki ni mtu hatari maana anaweza kukusifia ukiwa naye, ukigeuka anaweza kuwa kiongozi wa kukuwekea mitego ya kukuangusha.

Nchi yetu imejaa watu wanafiki. Viongozi wanatoka miongoni mwa jamii. Ukiona viongozi wamejaa unafiki, utambue kuwa jamii imejengwa na watu wanafiki, japo watu wakweli, waadilifu na wakweli wa nafsu hawatakosekana. Lakini, pale ambapo mfumo katika jamii unaruhusu mnafiki kuthaminiwa zaidi kuliko mtu mkweli, lazima wanafiki wataendelea kuongezeka.

Ebu fikiria yafuatayo:

1) Hakuna asiyejua namna spika wa bunge, Ndugai alivyokuwa mtu wa katibu wa marehemu. Tofauti na awamu nyingine zote, hakuna tukio, hata baadhi ya matukio madogo yaliyofanyika ikulu, ambayo Ndugai hakuhuduhuria. Na wakati wote alipokea maagizo toka kwa Rais na kuhalalisha Bunge kuwa ni taasisi iliyo chini ya serikali/Rais. Ilifikia mahali mpaka Rais alimwagiza spika kuwa awashughulikie wabunge wa upinzani bungeni, akiwatoa nje, huko nje yeye Rais atawashughulikia. Kilichokuwa kikitokea kila mmoja anafahamu. Ni spika huyu huyu alimwaga sifa kedekede kwa Rais za kusifia uamuzi wa Rais wa wakati huo wa kufuta mradi wa bandari. Baada ya kifo cha Hayati Magufuli, spika akawa miongoni mwa watu wa mwanzo kutamka kuwa kufuta mradi wa Bagamoyo lilikuwa kosa.

Leo bunge linaonekana halina maana kwa sababu unafahamu wazi kuwa kila ilichoamua Serikali kikapelekwa bungeni, ndicho kitakachokuwa. Bunge hili kiinimacho ambalo upatikanaji wake ni kiinimacho pia, leo hata lisipokuwepo, hakuna athari yoyote kwa sababu hutehlgemei kupata kitu tofauti na kile ambacho serikali inataka.

Bunge oamekuwa ni mahali pa kuhalalishia baadhi ua watu kupatia pesa lakini siyo mahali unapotarajia kuwa mijadala mizito inayohusu ustawi wa watu na kusutwa kwa serikali na vyombo vyake pale wanaposhindwa kuleta mabadiliko chanya katika maisha ya watu.

Bunge limekuwa dhaifu, limepoteza muelekeo wa kiutendaji lakini kila anayelikumbusha Bunge kutimiza wajibu wake, Spika anatoa vitisho, akiamini kwa kufanya hivyo ataonekana ni shujaa, wakati kiuhalisia anazidi kudhihirisha yeye spika na bunge lake walivyo dhaifu kupindukia.

2) Nape aliwahi kunaswa akimsema vibaya Rais Magufuli, baadaye akaenda kuomba msamaha, tena baadaye akaanza kumsifia Rais. Sasa tena amelaumu serikali ya Rais Magufuli kwa kuchukua mikopo mikubwa kwa usiri, na hivyo amependekeza kufanyike auditing maalum. Hoja yake inaweza kuwa ni ya msingi, lakini siku zote usimwamini mnafiki. Mnafiki hubadilika wakati wowote kwa sababu yeye huongozwa na maslahi binafsi.

3) Rais Samia alikuwa msaidizi wa Rais Magufuli. Japo alikuwa msaidizi wake, lakini sikuwahi kumsikia akimsifia Rais kwa lolote. Anayoyafanya sasa yanaashiria hakuwa pamoja na Rais Magufuli. Lakini, aliwezaje kufanya kazi na mtu ambaye alitofautiana naye kabisa kimtazamo? Kwa maneno yake, - anaifungua nchi (ina maana marehemu aliifungia nchi), tunafufua uchumi kwanza (ina maana marehemu aliua uchumi), tunafufua mahusiano ya kimataifa (ina maana marehemu aliharibu mahusiano ya kimataifa), tunarekebisha nchi ili iheshimu haki za binadamu na demokrasia (ina maana marehemu aliua haki, uhuru na demokrasia). Haya yote ni kweli, lakini kwa nini wakati wa utawala wa marehemu hakuna kiongozi yeyote aliyeweza kuwa na ujasiri wa kuyasema mabaya yaliyokuwepo wakati wa awamu ya 5?

4) Gambo akiwa RC wa Arusha, ndiye aliyesimamia zoezi la kupora pesa za kigeni kutoka kwa wamiliki wa maduka ya fedha za kigeni. Baada ya kifo cha Magufuli, Gambo ametamka wazi kuwa zoezi lile ulikuwa ni uporaji, na walioporwa, serikali iwarudishie pesa yao.

Kwa kawaida unafiki hunawirishwa na watawala wanaopenda sifa, madikteta na ambao uwezo wao wa kuongoza ni duni. Hivyo baadhi ya watu, kwa kutumia uwezo mdogo wa kiongozi aliyopo madarakani, huamua kwa unafiki kusifia kila kitu ili malengo yao yapate kutimia.

NB: Mtu mnafiki amelaaniwa maana ameiharibu nafsi yake na kuamua kuwa mtumwa wa mwanadamu mwenzake.

Viongozi wanafiki, ambao wanaamini walilazimika au walijilazimisha kuwa wanafiki, na sasa wanataka kuziishi dhamira za nafsi zao, watoke hadharani, watamke bayana, wajutie na kuomba msamaha, ili waweze kuaminika. Mnafiki hastahili kuaminika kwa lolote. Na watu wema wajihadhari sana na watu wanafiki.

Si jambo la ajabu katika nchi kuwa na watu werevu, wajinga, wanafiki, waongo, taahira, wendawazimu na vichaa. Jambo la ajabu hasa, ni kuona watu wajinga, wanafiki au wendawazimu wanapokuwa viongozi wa watu werevu!
BOGUS NDUNGAI
 
Hivi hadi leo Ndugai hajajua kwamba JPM alishakufa?!
 
Jina sahihi ni zuzu
Kuna watu wanaendana hasa na majina yao. Ukimsikiliza huyu spika, halafu ukaisikiliza clip ya Mwalimu, unaona kabisa kuwa ambaye Mwalimi alikuwa akimsema ni zuzu, ni huyu spika. Huyu ni zuzu hasa.
 
Usijali,mama alishasema kuwa Bunge linademka so Moja ya mtu alitakiwa soon ni Huyo jamaa but am sure next period hawezi kuwa sipika labda ubunge na ubunge itategemea .njugai kwenye siasa anamalizia tuuu .
 
Back
Top Bottom