Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Maoni ya Kitila Mkumbo kuhusu issue ya Halima Mdee na Wenzake yanaonyesha anatambua akina Halima wapo Bungeni kinyume Cha Sheria na kwamba Chadema walifanya sahihi kuwqfukuza.
Anatumia lugha ya picha kujificha kwenye kura ya wazi huku akijua Hata ndani ya bunge matumizi ya kura ya wazi ni makubwa,ndani ya CCM ipo kura ya wazi pia na katiba na Sheria zinaeleza kura ya wazi na Siri.
Kitendo Mkumbo kujitokeza kukiri wabunge wa Chadema wapo kinyume Cha Sheria nikumkosoa spika bila kuonyesha anamkosoa,nikuikosoa mahakama pia. Lakini pia anaungwa mkono na Kibanda ambapo kibanda bila kupepesa Wala kumumunya maneno anakiri akina Mdee niwakosaji ila analalamikia adhabu kwamba imekuwa Kali.
Hawa watu wawili wanatoa picha kwamba kipo kikundi Cha watu kinajiandaa kuikosoa serikali,mahakama na Bunge indirectly. Wanaonyesha wazi kwamba Hata Wana CCM wanatambua makosa ya akina Mdee na kwamba waashangaa wanaofumbia macho wakosaji na kuwakumbatia.
Kibamba anakwenda mbali Zaidi nakuonyesha tumbo kwanza. Hii ni fedhea na CCM pamoja na spika wawe makini na viumbe Hawa.
Ni kweli Mkumbo anachuki akina halima au anashangalia wanapofedheeshwa ila anaweza akakaa tu Kimya KULIKO unafiki unamsifia MTU Kwa kumnanga. Ni kweli ana hasira kuvuliwa uwaziri lakini siyo apeleke machungu yake kuwakosoa wakubwa zake. Haya yalifanyika akiwa anaelewa uchafu mzima kwanini asikae Kimya?
Nadhani misimamo ya Chadema upo wakati inasaidia kuwatambua watu Kwa sura zao, imewasaidia akina halima kutambua chuki iliyopo HUKO waliko. Tumbo tumbo tumbo