LGE2024 Spika Dkt. Tulia awapongeza waliojiandikisha na kuwataka sasa wajikite kwenye kuwapigia Kampeni viongozi wenye Viwango!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Spika Dr Tulia amewataka Wananchi wasiishie kwenye kujiandikisha tu bali wajikite kuwapigia Kampeni viongozi wenye Viwango vya kuwavusha

Dr Tulia amewataka Wananchi wawe makini katika kuupima ubora wa viongozi watakaowafaa katika nyakati Hizi za Global economy

Ahsanteni sana 😄
 
Debe tupu kazi yake kufokafoka eti do not crucify me, baada ya siku mbili utasikia machawa yalisema mama amepewa misaada na marekani.
 
Spika Dr Tulia amewataka Wananchi wasiishie kwenye kujiandikisha tu bali wajikite kuwapigia Kampeni viongozi wenye Viwango vya kuwavusha

Dr Tulia amewataka Wananchi wawe makini katika kuupima ubora wa viongozi watakaowafaa katika nyakati Hizi za Global economy

Ahsanteni sana 😄
na kwakeli zaidi sana wawazingatie zaidi viongozi makini sana wanaotokana CCM 🐒
 
Inawezekana ni 'jiniaz' kiasi kwamba siye wenye akili za kawaida tunamwona kama ana tatizo kichwani.
 
Back
Top Bottom