Hamna kitu kama hicho. Mwanasiasa hawezi kuwa mlokole. Anaebisha anyooshe mkonoEti mlokole
Alienda kujitafuta kwa kuita watu wajifanye wanampiga mbele ya mke wake na kuondoka naye ili kuchanganya kila mtu😌Ewaah
Why Tulia amuue huyo jamaa?Huyo Tulia ni mmoja wa watuhumiwa. Mdude kabla ya kutekwa kwake, aliwahi kuandika kuwa Tulia anafanya mipango ya kumwua.
Huyu ndio spika anajibu hivyo!?🤣🤣🤣Majibu fikirishi kutoka kwa Mh Tulia Ackson kuhusiana na kupotea kwa Mh Mdude Nyangal, mwanachama wa CHADEMA
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/15M91Gg4ca/