PreGE2025 Spika Dkt. Tulia: Huwezi kusema mtu katekwa kama hukuona

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Akaongoza “Je, vitendo vya Watu kupotea au kutekwa vinaonekana vimeshamiri au vimerejea kwa kasi, Watu wanadhani Bunge lina sababu ya kusimamisha kusimamisha shughuli zake na kulijadili kwa kina suala hilo, wewe unasemaje?"
Kwahio Bunge kujadili upumbavu wa YANGA na Simba ni Sawa ila sio Maisha ya Watu sio?!
 
 

Attachments

  • 5369019-d83af5714991bb9e1c8b3011c18a2151 (1).mp4
    2.3 MB
Spika ana roho ngumu sama. Kumbe hivi vyeo nyie viacheni hivi hivi
 
Amesemaje sasa,, anamaanisha wanaosema si wakweli? Wanazusha?
 
Ni ajabu sana kuwa anayezungumza hivyo ni speaker wa bunge la nchi, tena mwanasheria! Na Kuna mitaahira inamshangilia akisimama jukwaani kutapika uharo mwingine!

Shithole ni shithole tu
 
Anatia kinyaa sana hata anapozungumza. Mdude alitekwa mbele ya mke wake, alipigwa mkewe akiwa anaona af anakuja hapa anaongea vitu gani huyu.
 

Anazunguka zunguka tu. Anajifanya mjuaji. Mdude katekwa nyumbani. Sasa kwa nini anatoa mifano isiyohudiana. Mpumbavu kabisa huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…