Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 8,598 Reaction score 9,539 May 11, 2025 #61 Huo ndio ukweli. tusiyumbishwe na hawa kunguni wanao dhani wanaweza kumtishia mtu mzima nyau!
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 14,029 Reaction score 34,441 May 11, 2025 #62 Kifo ni kifo kama aliyeuwawa sio ndugu yako. Kutekwa ni kwenda kutafuta maisha kama aliyetekwa sio ndugu yako. Damu za watu huwa zinaondoka na watu.
Kifo ni kifo kama aliyeuwawa sio ndugu yako. Kutekwa ni kwenda kutafuta maisha kama aliyetekwa sio ndugu yako. Damu za watu huwa zinaondoka na watu.
evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,989 Reaction score 9,948 May 11, 2025 #63 Cannabis said: Alienda kujitafuta kwa kuita watu wajifanye wanampiga mbele ya mke wake na kuondoka naye ili kuchanganya kila mtu😌 Click to expand... Ndio anavyomaanisha huyo mama moto ni wake ikifika kiama yake
Cannabis said: Alienda kujitafuta kwa kuita watu wajifanye wanampiga mbele ya mke wake na kuondoka naye ili kuchanganya kila mtu😌 Click to expand... Ndio anavyomaanisha huyo mama moto ni wake ikifika kiama yake
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 2, 2025 #64 Hayo ndiyo maelekezo, ndiyo maana asilimia kubwa waliorecordiwa wakitekwa, au gari la watekaji likipigwa picha.Baadae Tanpol wanakuja kutoa taarifa, ila kama mliishia kuona tu, hiyo imeenda.
Hayo ndiyo maelekezo, ndiyo maana asilimia kubwa waliorecordiwa wakitekwa, au gari la watekaji likipigwa picha.Baadae Tanpol wanakuja kutoa taarifa, ila kama mliishia kuona tu, hiyo imeenda.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Sep 2, 2025 #65 magnifico said: Kifo ni kifo kama aliyeuwawa sio ndugu yako. Kutekwa ni kwenda kutafuta maisha kama aliyetekwa sio ndugu yako. Damu za watu huwa zinaondoka na watu. Click to expand...
magnifico said: Kifo ni kifo kama aliyeuwawa sio ndugu yako. Kutekwa ni kwenda kutafuta maisha kama aliyetekwa sio ndugu yako. Damu za watu huwa zinaondoka na watu. Click to expand...