Spika fuata sheria kwenye suala la Halima Mdee na wenzake

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Nchi hii tuna Katiba inayotuongoza, tuna sheria, kanuni na taratibu mbalimbali pia zinatuongoza.

Kwa suala la Wabunge wanawake kutoka CHADEMA ninakuomba kubali yaishe tuendelee a mengine. Uwe kama Pilato.

Wewe huna kosa bali unatekeleza na kufuata sheria. Nisingetumaini pia kesho waingie mjengoni.

Tenda HAKI.
 
Haiwezekani, kama taratibu hazikufuatwa, spika ana haki ya kukataa mchakato wote, yaani Hilo Baraza Kuu mtaliitisha hata mara kumi, Cha msingi utaratibu ufuatwe.

Katiba za vyama zonasajiliwa kisheria ili zifuatwe.
Mnalilia katiba mpya wakati katiba yenu tu wanachama wanasema mnaiendesha kihuni
 
Ccm wanadhan wanaikomoa Cdm kumbe wanaidhalikisha katiba na nchi!!! In short Baada ya mag na ndugai bunge limekuwa taasisi ya hovyo mno
 
Nchi hii tuna Katiba inayotuongoza, tuna sheria, kanuni na taratibu mbalimbali pia zinatuongoza.

Kwa suala la Wabunge wanawake kutoka CHADEMA ninakuomba kubali yaishe tuendelee a mengine. Uwe kama Pilato.

Wewe huna kosa bali unatekeleza na kufuata sheria. Nisingetumaini pia kesho waingie mjengoni.

Tenda HAKI.

Sheria inasema usingilie mahakama!
 
Huwezi kumfunza spika sheria wewe,huyo ni gwiji mwalimu wa sheria
 
Haiwezekani, kama taratibu hazikufuatwa, spika ana haki ya kukataa mchakato wote, yaani Hilo Baraza Kuu mtaliitisha hata mara kumi, Cha msingi utaratibu ufuatwe.

Katiba za vyama zonasajiliwa kisheria ili zifuatwe.
Mnalilia katiba mpya wakati katiba yenu tu wanachama wanasema mnaiendesha kihuni
Wwe ni punguani haswa! Kwa hiyo wewe na wenye chama nani anajua katiba zaidi? Kwenye suala la polepole palifuatwa katina ipi? Kwenye suala la ASAD palifuatwa katiba ipi? Kwenye suala la wabunge wa CUF katiba hazikuwepo?
Acheni ujinga nyie
 
Zwazwa kama zwazwa
 
Sheria inasema usingilie mahakama!
Nikweli usiingilie mahakama.
Je shitaka litakuwa LA
1.Kuvuliwa uanachama?
2.Kuvuliwa ubunge?
Wasipokuwa makini zitazaliwa kesi nyingi zakijinga halafu aibu itabaki kwa mkuu wa Nchi.Subirini
 
Nchi hii tuna Katiba inayotuongoza, tuna sheria, kanuni na taratibu mbalimbali pia zinatuongoza.

Kwa suala la Wabunge wanawake kutoka CHADEMA ninakuomba kubali yaishe tuendelee a mengine. Uwe kama Pilato.

Wewe huna kosa bali unatekeleza na kufuata sheria. Nisingetumaini pia kesho waingie mjengoni.

Tenda HAKI.
Acha wapewe nafasi kama wanataka kwenda kutafuta haki yao mahakamani wafanye hivyo.
Haraka ya nini sasa kuanza kumsumbuasumbua spika?
 
Nikweli usiingilie mahakama.
Je shitaka litakuwa LA
1.Kuvuliwa uanachama?
2.Kuvuliwa ubunge?
Wasipokuwa makini zitazaliwa kesi nyingi zakijinga halafu aibu itabaki kwa mkuu wa Nchi.Subirini

Kupinga kuvuliwa uanachama
 
Kupinga kuvuliwa uanachama
Kama ndivyo,Chadema watakuwa mashahidi sasa wakupeleka ushahidi unaoonyesha hawajawahi kuteua wabunge.Then Spika atapeleka nyaraka zilizopelekwa na Chadema kuwatambulisha wabunge.MARIDHIANO NA HANGAYA SI LEO WALA KESHO
 
Wwe ni punguani haswa! Kwa hiyo wewe na wenye chama nani anajua katiba zaidi? Kwenye suala la polepole palifuatwa katina ipi? Kwenye suala la ASAD palifuatwa katiba ipi? Kwenye suala la wabunge wa CUF katiba hazikuwepo?
Acheni ujinga nyie
1. Katiba sio siri kwamba wenye katiba wanaijua kuliko wengine holo ONDOA.
2. Kama kwa polepole, Asaad, n.k katiba haikufuatwa unashauri iendelee kuvunjwa?
 
Kama ndivyo,Chadema watakuwa mashahidi sasa wakupeleka ushahidi unaoonyesha hawajawahi kuteua wabunge.Then Spika atapeleka nyaraka zilizopelekwa na Chadema kuwatambulisha wabunge.MARIDHIANO NA HANGAYA SI LEO WALA KESHO

Tume ya uchaguzi itapeleka ushahidi wa majina ambayo myika alipeleka
 
Kwa unajisi wote wa Katiba na sheria za nchi unaofanyika, hili ndio linakuumiza kichwa, mzee? Waendelee tu, mpaka tutakapofunguka macho.
Kuna pesa zinaingia kila mwezi kutoka kwenye mfuko wa kuimarisha demokrasia kwa mabunge yenye kambi za upinzani. Spika akifuata sheria iliyokwisha vunjwa mfereji utakata.

Vyovyote watakavyoamua ofisi zote za Ubalozi zinaona na zinafahamu yanayoendelea.
 
Kumbe sharia zinavunja kiss mfwereji wa shekeli kutoka kwa mabeberu."NCHI HII TUNAWEZA,TUNAWEZA"
 
Good,na nyaraka za vikao vyakuwaidhinisha kutoka Bawacha na Bavicha kwenda kamati kuu.

Yes then uone kama utaendelea kushabikia chadema, hautoamini utakachokisikia
 
Wwe ni punguani haswa! Kwa hiyo wewe na wenye chama nani anajua katiba zaidi? Kwenye suala la polepole palifuatwa katina ipi? Kwenye suala la ASAD palifuatwa katiba ipi? Kwenye suala la wabunge wa CUF katiba hazikuwepo?
Acheni ujinga nyie
Hiv kweli wale wabunge wa cuf suala lao mbona liliisha kihuni? Sema nao wamepooza khaaa
 
Back
Top Bottom