Nchi hii tuna Katiba inayotuongoza, tuna sheria, kanuni na taratibu mbalimbali pia zinatuongoza.
Kwa suala la Wabunge wanawake kutoka CHADEMA ninakuomba kubali yaishe tuendelee a mengine. Uwe kama Pilato.
Wewe huna kosa bali unatekeleza na kufuata sheria. Nisingetumaini pia kesho waingie mjengoni.
Tenda HAKI.
Huwezi kumfunza spika sheria wewe,huyo ni gwiji mwalimu wa sheriaNchi hii tuna Katiba inayotuongoza, tuna sheria, kanuni na taratibu mbalimbali pia zinatuongoza.
Kwa suala la Wabunge wanawake kutoka CHADEMA ninakuomba kubali yaishe tuendelee a mengine. Uwe kama Pilato.
Wewe huna kosa bali unatekeleza na kufuata sheria. Nisingetumaini pia kesho waingie mjengoni.
Tenda HAKI.
Wwe ni punguani haswa! Kwa hiyo wewe na wenye chama nani anajua katiba zaidi? Kwenye suala la polepole palifuatwa katina ipi? Kwenye suala la ASAD palifuatwa katiba ipi? Kwenye suala la wabunge wa CUF katiba hazikuwepo?Haiwezekani, kama taratibu hazikufuatwa, spika ana haki ya kukataa mchakato wote, yaani Hilo Baraza Kuu mtaliitisha hata mara kumi, Cha msingi utaratibu ufuatwe.
Katiba za vyama zonasajiliwa kisheria ili zifuatwe.
Mnalilia katiba mpya wakati katiba yenu tu wanachama wanasema mnaiendesha kihuni
Zwazwa kama zwazwaHaiwezekani, kama taratibu hazikufuatwa, spika ana haki ya kukataa mchakato wote, yaani Hilo Baraza Kuu mtaliitisha hata mara kumi, Cha msingi utaratibu ufuatwe.
Katiba za vyama zonasajiliwa kisheria ili zifuatwe.
Mnalilia katiba mpya wakati katiba yenu tu wanachama wanasema mnaiendesha kihuni
Nikweli usiingilie mahakama.Sheria inasema usingilie mahakama!
Acha wapewe nafasi kama wanataka kwenda kutafuta haki yao mahakamani wafanye hivyo.Nchi hii tuna Katiba inayotuongoza, tuna sheria, kanuni na taratibu mbalimbali pia zinatuongoza.
Kwa suala la Wabunge wanawake kutoka CHADEMA ninakuomba kubali yaishe tuendelee a mengine. Uwe kama Pilato.
Wewe huna kosa bali unatekeleza na kufuata sheria. Nisingetumaini pia kesho waingie mjengoni.
Tenda HAKI.
Nikweli usiingilie mahakama.
Je shitaka litakuwa LA
1.Kuvuliwa uanachama?
2.Kuvuliwa ubunge?
Wasipokuwa makini zitazaliwa kesi nyingi zakijinga halafu aibu itabaki kwa mkuu wa Nchi.Subirini
Kama ndivyo,Chadema watakuwa mashahidi sasa wakupeleka ushahidi unaoonyesha hawajawahi kuteua wabunge.Then Spika atapeleka nyaraka zilizopelekwa na Chadema kuwatambulisha wabunge.MARIDHIANO NA HANGAYA SI LEO WALA KESHOKupinga kuvuliwa uanachama
1. Katiba sio siri kwamba wenye katiba wanaijua kuliko wengine holo ONDOA.Wwe ni punguani haswa! Kwa hiyo wewe na wenye chama nani anajua katiba zaidi? Kwenye suala la polepole palifuatwa katina ipi? Kwenye suala la ASAD palifuatwa katiba ipi? Kwenye suala la wabunge wa CUF katiba hazikuwepo?
Acheni ujinga nyie
Kama ndivyo,Chadema watakuwa mashahidi sasa wakupeleka ushahidi unaoonyesha hawajawahi kuteua wabunge.Then Spika atapeleka nyaraka zilizopelekwa na Chadema kuwatambulisha wabunge.MARIDHIANO NA HANGAYA SI LEO WALA KESHO
Good,na nyaraka za vikao vyakuwaidhinisha kutoka Bawacha na Bavicha kwenda kamati kuu.Tume ya uchaguzi itapeleka ushahidi wa majina ambayo myika alipeleka
Kuna pesa zinaingia kila mwezi kutoka kwenye mfuko wa kuimarisha demokrasia kwa mabunge yenye kambi za upinzani. Spika akifuata sheria iliyokwisha vunjwa mfereji utakata.Kwa unajisi wote wa Katiba na sheria za nchi unaofanyika, hili ndio linakuumiza kichwa, mzee? Waendelee tu, mpaka tutakapofunguka macho.
Kumbe sharia zinavunja kiss mfwereji wa shekeli kutoka kwa mabeberu."NCHI HII TUNAWEZA,TUNAWEZA"Kuna pesa zinaingia kila mwezi kutoka kwenye mfuko wa kuimarisha demokrasia kwa mabunge yenye kambi za upinzani. Spika akifuata sheria iliyokwisha vunjwa mfereji utakata.
Vyovyote watakavyoamua ofisi zote za Ubalozi zinaona na zinafahamu yanayoendelea.
Tulivyo wanafiki huko kwa mabeberu tunajinadi kuwa tuna bunge la vyama vingi lakini kwenye kampeni tunataka tusichanganyiwe magunzi na battery.Kumbe sharia zinavunja kiss mfwereji wa shekeli kutoka kwa mabeberu."NCHI HII TUNAWEZA,TUNAWEZA"
Good,na nyaraka za vikao vyakuwaidhinisha kutoka Bawacha na Bavicha kwenda kamati kuu.
Hiv kweli wale wabunge wa cuf suala lao mbona liliisha kihuni? Sema nao wamepooza khaaaWwe ni punguani haswa! Kwa hiyo wewe na wenye chama nani anajua katiba zaidi? Kwenye suala la polepole palifuatwa katina ipi? Kwenye suala la ASAD palifuatwa katiba ipi? Kwenye suala la wabunge wa CUF katiba hazikuwepo?
Acheni ujinga nyie