Spika Job Ndugai alishindwa Kumlinda Sophia Simba na wenzie 12 walipofukuzwa na CCM, ubavu wa Kumlinda Halima Mdee na Wenzie 18 atautoa wapi?

The Boss aliyewafukuza kina Sophia Simba ndio boss atakaye walinda kina Halima Mdee
 
Hiki kizee ni cha hovyo kabisa, sijui kinadhani sisi wananchi ni wapumbavu kama chenyewe? Haa! Ajabu na kweli.
 

Hapo alipo tunamchora tu, kwasasa hivi cdm wamemaliza mechi, yeye akae nao ili kila mtu ajiridhishe kuwa serikali hii haiheshimu katiba. Awape mpaka nyumba za kuishi humo ndani ya bunge, lakini hatua stahiki dhidi ya hao wabunge zimeshachukuliwa.
 
JIBU LAHISI: MAAGIZO KUTOKA JUU. SERIKALI YETU INA MIHILIMILI MITATU MIWILI KATI YAKE NI KIBOGOYO TOKA 2015
 
CCM haifanyi mambo kienyeji
Hao kina Halima waliitwa wapi kujieleza?katiba ya chadema inataka mtuhumiwa apelekewe mashitaka siku 7 kabla ya kikao,ili apate muda wa utetezi,hilo lilifanyika?

Hatuhitaji ww kutuambia, tunaona kwa macho yetu. Kwahiyo usipoteze muda wako bure. Hao sio wabunge wa cdm bali wa spika. Awanunulie hata helicopter ya kuwazungusha hapa nchini, lakini maamuzi tayari yameshachukuliwa.
 
Hatuhitaji ww kutuambia, tunaona kwa macho yetu. Kwahiyo usipoteze muda wako bure. Hao sio wabunge wa cdm bali wa spika. Awanunulie hata helicopter ya kuwazungusha hapa nchini, lakini maamuzi tayari yameshachukuliwa.
Au kama wanataka wamteke mbowe wakamvalishe khanga akitoka huko atakuwa kalegea kama Mo !!! Kisha atasema wabunge hao ni halali.
 
HII WALA SIYO HOJA, ETI HAWAMTAMBUI SPIKA. KWANI NI KWELI SIYO SPIKA? HIYO BARUA ITAANDIKWA KWA ANWANI YA SPIKA. NA YEYE ASIPOFANYIA KAZI HIYO BARUA MAANA YAKE AMEBARIKI NA KUUTANGAZIA UMMA KWAMBA YEYE SIYO SPIKA. KAMA YEYE ANAJITAMBUA KUWA NI SPIKA ANATAKIWA KUFANYA KAZI ZA SPIKA. SIYO LAZIMA UTANGAZE HADHARANI KUMTAMBUA MTU KWA CHEO CHAKE. KAMA BARUA YA CHADEMA HAITAMWANDIKIA SPIKA HAPO HATAFANYIA KAZI HIYO BARUA, LAKINI KAMA ITAKUWA ADDRESSED TO SPEAKER THEN THE OFFICE OF SPEAKER SHOULD WORK ON THAT LETTER. KUMBUKENI HIZI OFISI SIYO MTU.
 
Hatuhitaji ww kutuambia, tunaona kwa macho yetu. Kwahiyo usipoteze muda wako bure. Hao sio wabunge wa cdm bali wa spika. Awanunulie hata helicopter ya kuwazungusha hapa nchini, lakini maamuzi tayari yameshachukuliwa.
WATU WANASHINDWA KUELEWA. SUALA HAPA SIYO KUWAZUIA AKINA MDEE KUINGIA BUNGENI ILA KUWAITA WABUNGE WA CHADEMA. KWA HIYO NDUGAI KUWAONDOA BUNGENI AU KUWAACHA HILO NI JUU YAKE NA KATIBA YA NCHI NA SIYO CHADEMA. HAPO NDUGAI HAGOMBANI NA CHADEMA BALI ANAGOMBANA NA KATIBA. AENDELEE KUWAWEKA BUNGENI KWA MUJIBU WA KATIBA ANAYOIFAHAMU YEYE.

CHA MSINGI NI KWAMBA TUJUE FIKA KWAMBA NYAKATI HIZI ZA HAWA NDUGU WAWILI, JOB NA JIWE KATIBA HAINA NAFASI HATA KIDOGO.
 
Kimsingi Chadema mbunge ni mmoja tu!
Hao wengine 19 wanainajisi Bunge.
Tutaipata kwenye taarifa ya CAG 2012-2013.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…