Ndie alikuwa kiongozi wa bunge,bunge lililowezesha nchi kuiweka miundombinu kama barabara zilizowezesha mkeo kwenda kumegwa na kurudi haraka kabla hujarudi home na ndio msingi wa amani unayoiona hapo kwako,hata mama Yako me hivo hivo anawahi kumpikia chakula baba yako na kupata matumizi mengine ambayo baba Yako na wewe mlishindwa kuwatimizia wenzake wenuKila linapotajwa jina la Job Ndugai kwangu hunijia taswira ya spika mbabe aliyewanyoosha haswa wapinzani ndani ya bunge, mjivuni wa mamlaka ya dola, sakata la covid19 na bunge kupitisha sheria ya wenza wa viongozi kulipwa kwa sababu ya kuwa wake au waume wa viongozi.
Zaidi sana ni bunge aliloliongoza kupoteza mvuto wa kufuatiliwa na raia walio wengi.
Kuwa chawa wa dhalimu magu, na kuligeuza bunge kuwa kibogoyo.Kila linapotajwa jina la Job Ndugai kwangu hunijia taswira ya spika mbabe aliyewanyoosha haswa wapinzani ndani ya bunge, mjivuni wa mamlaka ya dola, sakata la covid19 na bunge kupitisha sheria ya wenza wa viongozi kulipwa kwa sababu ya kuwa wake au waume wa viongozi.
Zaidi sana ni bunge aliloliongoza kupoteza mvuto wa kufuatiliwa na raia walio wengi.
Ni lini barabara hazikuwahi kujengwa toka wakati wa ukoloni, na hiyo amani a.k.a uoga lini haukuwepo ila chini yake ndio ikawa tofauti?Ndie alikuwa kiongozi wa bunge,bunge lililowezesha nchi kuiweka miundombinu kama barabara zilizowezesha mkeo kwenda kumegwa na kurudi haraka kabla hujarudi home na ndio msingi wa amani unayoiona hapo kwako,hata mama Yako me hivo hivo anawahi kumpikia chakula baba yako na kupata matumizi mengine ambayo baba Yako na wewe mlishindwa kuwatimizia wenzake wenu
Infact kazi kubwa sana ameifanya
Kwa hiyo mwenyekiti ndio mmemsahau au,manake mara Polepole,mara nn,Kila tukio mnak8mbizana nalo likija jingine la nyuma mnasahau,mmekosa political focus,Toka reform,mara Lissu,mara Polepole na mengine😆😆Ni lini barabara hazikuwahi kujengwa toka wakati wa ukoloni, na hiyo amani a.k.a uoga lini haukuwepo ila chini yake ndio ikawa tofauti?
Kushughulika na kibarakaKila linapotajwa jina la Job Ndugai kwangu hunijia taswira ya spika mbabe aliyewanyoosha haswa wapinzani ndani ya bunge, mjivuni wa mamlaka ya dola, sakata la covid19 na bunge kupitisha sheria ya wenza wa viongozi kulipwa kwa sababu ya kuwa wake au waume wa viongozi.
Zaidi sana ni bunge aliloliongoza kupoteza mvuto wa kufuatiliwa na raia walio wengi.
Hapa ni mitandaoni, sio kwenye ofisi za cdm. Ungeingia kwenye vikao vya cdm ukute wanajadili habari za Polepole ungekuwa na haki ya kusema hiki usemacho. Huenda hujui mijadala ya mitandaoni, na vikao vya chama. Siku ukijua tofauti uje tuendelee na mjadala dogo.Kwa hiyo mwenyekiti ndio mmemsahau au,manake mara Polepole,mara nn,Kila tukio mnak8mbizana nalo likija jingine la nyuma mnasahau,mmekosa political focus,Toka reform,mara Lissu,mara Polepole na mengine😆😆
Vikao bila mwenyekiti ni batili😆😆Hapa ni mitandaoni, sio kwenye ofisi za cdm. Ungeingia kwenye vikao vya cdm ukute wanajadili habari za Polepole ungekuwa na haki ya kusema hiki usemacho. Huenda hujui mijadala ya mitandaoni, na vikao vya chama. Siku ukijua tofauti uje tuendelee na mjadala dogo.