mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Faida gani alizoangalia wakati tayari tuna bandari kubwa 3 yaani Dsm, Tanga na Mtwara?
Spika unaongeaje bila utafiti wala data?!!!
Spika ambaye alisema mradi una manufaa makubwa leo anasema hajui mkataba ulikuwaje,ilikuaje akimbilie manufaa bila kujua mkataba ukoje,ndio watu tunategemea watupeleke uchumi wa kati,kila Siku wanapitisha mikataba wao wenyewe halafu baadae wanaanza kushaangaa,Kisa kasikia Raisi kaukosoa sasa anajua hawezi kusimama kinyume
Umeona ee
Na ajabu ni kwamba huyu ndiye msimamizi wa kusimamia chombo cha kutunga sheria na mikataba halafu anakuja kutwambia eti aliangalia tu faida zake.......Haina haja ya kuwa na bunge na haina haja ya kuwa na spika asiye na msimamo.
Tuvunje bunge tuchague upya hao tuliowachagua hawafanyi kilichowapeleka.
Na ajabu ni kwamba huyu ndiye msimamizi wa kusimamia chombo cha kutunga sheria na mikataba halafu anakuja kutwambia eti aliangalia tu faida zake.......
Bado tuna safari ndefu kwakweli na kwa staili hii tutaendelea kuibiwa mpaka basi
Kwani Magufuli si aliusign kwa nia a ya nchi si alikuwa ujenzi alikuwa kwenye cabinet ni kichaa tu atakayeamini asemayo Magufuli wakati yeye ni sehemu ya tatizo halo bado uwanja wa chato na bandari ya chato ndio utakapojuwa ccm ni vichaa tuZito na Chadema walikua wanalilia huu mradi, aibu sana.
JPM hana jipya kwa miaka 25 iliyopita amekuwa sehemu ya mikataba mibovu humo siku zote his kwenye cabinet baadaya amekuwa raisiHii tabia ya kuacha kusoma masharti yaliyopo kwenye mikataba ndio imeifikisha nchi hapa ilipo kwa sababu mingi ya mikataba hiyo ni mibovu na ndio maana wananchi kupitia wabunge wetu tumeomba miaka nenda rudi mikataba yote iletwe bungeni ipitiwe kabla ya kusainiwa.
Leo hii kama sio umahiri wa Mh. JPM huu mkataba mbovu nao ungesainiwa na kuliingiza taifa kwenye umasikini wa kutupwa.
Nionavyo mimi kanuni ya adhabu kutokana na kosa la kuliingizia taifa hasara yaani uhujumu uchumi ipitiwe upya ili ikibainika wahusika wawajibishwe bila huruma hata ikibidi wafilisiwe na kufungwa muda mrefu.
Nakumbuka wakati fulani nilikuwa nasafiri kwenye ndege nikitokea Amsterdam kuja Dar kuna mzungu mmoja alikuwa kiti cha pembeni yangu alikuwa akisoma mkataba baina ya kampuni yake na serikali ya TZ,cha kushangaza hakulala usiku kucha alikuwa anaupitia kisawasawa kitu ambacho sidhani kama watanzania tunafanya hivyo.
Mungu mbariki JPM Mungu ibariki TZ.
Anakubaliana kuhusu nini mkuu?Naona unakubaliana na CAG kimtindo!
Alikuwa Naibu, ukiuliza wapambe watakwambia hakuwa na mamlaka.Wakati wanagonga meza kuupitisha huo mkataba kwa mbwembwe alikuwa wapi ?
Faida gani alizoangalia wakati tayari tuna bandari kubwa 3 yaani Dsm, Tanga na Mtwara?
Spika unaongeaje bila utafiti wala data?!!!
Supika mbov kuwai tokea Tanganyika