Spika Job Ndugai: Kutokana na masharti ya Mradi wa Bandari Bagamoyo, ni sahihi Serikali kuusitisha

Faida gani alizoangalia wakati tayari tuna bandari kubwa 3 yaani Dsm, Tanga na Mtwara?

Spika unaongeaje bila utafiti wala data?!!!
Spika anazidi kutuvuruga tu, saiv kasema alishauriwa vibaya
 
HIvi ndivyo ilivyokuwa. Leo kishageuka kwa uhakika kabisa bila hata aibu.
 
Naomba watanzania tuwekewe mkataba huu wazi ili tujiridhishe maana wawakilishi wetu wanageuka kila leo kama kinyonga kutegemeana na mazingira. Katika hili simwamini yeyote!!
Naona zinatumika nguvu kubwa kuponda kile kile walichokuwa wanakisifu, na walichokuwa wanakiponda wanakisifu, kulikoni! I smell something fishy!
 
Tatizo tunajadii wakati mkataba wenyewe mmeufungia kabatini - sasa nani ni mkweli hapa? Marehemu ama Ndugai?

Mikataba iwekeni wazi ili tujue nani kibaka!!
 
Kufa kwanza ili ujue maadui zako!!
 
Kwa sasa anadai mradi ni mzuri!! Can you imagine!! Jicho hilo hilo moja linatoa maji matamu na machungu!! Ole kwa Taifa ambalo viongozi wake ni kigeugeu!! Tatizo ni kwamba hatuwezi kumfufua!! Sijui kama unawasikia huko uliko! Wamekugeuka fasta!!!!
Mithali 11:14
Pasipo mashauri taifa huanguka; Bali kwa wingi wa washauri huja wokovu.
 
Terms za bandari ya Bagamoyo uliziona wapi?
Sipendi kuongelea maneno ya uvumi, hususan kama yanamchafua mtu.

Facts. Terms za bandari ya Bagamoyo zilikuwa mbaya na Bandari ya Dar inaweza kuimarishwa, hatuhitaji bandari mbili kubwa zilizo karibu.
 
Wanasiasa Vigeu geu... Spika alishapokea mlungula maybe
Alikwenda China akaukubali mradi. Kufika hapa mzizi uliojichimbia chini ukaukataa na yeye kama bendera akafuata upepo. Mzizi ulipoterereka, kabadirisha his angani na karudia kulekule. Hana msimamo na hawesi kutetea maamuzi yake bila woga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…