daniel enocy
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 380
- 413
Habari wana jamvi kuna hoja hainiingii akilini kwann spika awe mkuu wa nchi kama rais na makamu wake hawapo ,haiwezi kuathiri principle of check and balace na kwan awe sipika wa bunge hakuna mwingiliano wa madaraka hapa