daniel enocy JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 380 Reaction score 413 May 23, 2019 #1 Habari wana jamvi kuna hoja hainiingii akilini kwann spika awe mkuu wa nchi kama rais na makamu wake hawapo ,haiwezi kuathiri principle of check and balace na kwan awe sipika wa bunge hakuna mwingiliano wa madaraka hapa
Habari wana jamvi kuna hoja hainiingii akilini kwann spika awe mkuu wa nchi kama rais na makamu wake hawapo ,haiwezi kuathiri principle of check and balace na kwan awe sipika wa bunge hakuna mwingiliano wa madaraka hapa
expedition JF-Expert Member Joined Jul 16, 2016 Posts 935 Reaction score 2,995 May 23, 2019 #2 Mie nazan kama spika hafai basi katibu wa chama ndo angepaswa kukaimu huo ukuu wa nchi.
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,917 Reaction score 11,801 May 25, 2019 #3 Rais na makamu wasipo kuwepo Waziri mkuu anakaimu na sio spika.