Spika mstaafu Tulia Ackson ana Siri ipi?

Muacheni Aishi maisha yake.
Kila akipost mnatoa TAFSRI.sio sawa kama ameumizwa kupigwa chini uspika angesema.
Yote Kwa yote anatakiwa akubali
 
Akina nani ni communists boss?
 
Wakati huu ambao wambea tumepumzika na mambo ya wasanii, bado tunaendelea kupata burudani kupitia haya yanayoendelea.

Inafurahisha sana namna watesi wetu wanavyokanyagana, kila siku kuna jipya hawatupumzishi.
Hakuna kuwazungumzia wasanii mpaka akili zikae sawa.

Link zao sponsored insta/facebook ni kuzipita kama unaaga mwili.
 
Bro unaweza kuwa mnyama lakini Kuna muda unafika unaona no inatosha, binafsi tulia namuelewa sana kwani kufanyakosa sio kosa kosa kurudia kosa kwa binadamu mwenye moyo wa nyama huwezi ridhika na hiki kinacho endelea tz
 
With all due respect, CCM na viongozi wake siyo wakomunisti. Hata kidogo wala hawana uhusiano. Hawana itikadi wala dira. Wao ni kula na kutapanya mali za nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…