Elections 2010 Spika mwenye sifa zifuatazo ndiye anayetafutwa na ccm

Gwallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
3,408
Reaction score
4,392
1.Spika atakayelinda maslahi ya mafisadi.
2.Spika ambaye hataruhusu mijadala aina ya richmond,epa,meremeta,tangold,mikataba mibovu ya madini,vitalu vya wanyamapori n.k.....
3.Spika ambaye yuko tayari kuwa remoted na mafisadi.
4.
5.
6.
CCM makini, Chadema, NCCR,TLP,UDP CUF tafadhali kura yako iamue aina ya spika atakayefaa kwa taifa hili na hali yake.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki bunge letu,Mungu yabatilishe mawazo ya mafisadi na njama zao. Amen!!!!!!!
 

Wao wamesema sifa kubwa ya spika mwaka huu ni kuwa mwanamke kwa hiyo kinachoangaliwa ni uanamke. Haya mengine hawajasema labda tutashhudia bunge likianza kazi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…