Spika na twita za mlangoni kwa ajili ya Subaru Impreza Hatchback 2008

Spika na twita za mlangoni kwa ajili ya Subaru Impreza Hatchback 2008

Planet FSD

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2019
Posts
455
Reaction score
948
Wakuu habari za muda huu? Niliagiza gari tajwa hapo juu siku chache zilizopita ile imefika spika zote zimeibwa, ni wapi naweza kupata spika na twita zake za replacement? Hasa za mtumba.
 
Ukimaamisha zimeibiwa hapo bandari ya dar sio?
 
Back
Top Bottom