PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 444
Katika hali ya kushangaza, bunge la leo kwa vipindi vyote viwili asubuhi na jioni limeisha uku likiacha wabunge wananungunika: hoja zimetolewa-wabunge wakaomba mwongozo wa spika pamoja na utaratibu lkn hakuna aliyesikilizwa zaidi kuropokaropoka kwa Wabunge wanaojiita ni wana-magamba.