Mch.msigwa kampiga kijembe mhe. Sitta, kwamba kat yao wanaotekeleza ilani ya chama na yeye aliyesalit chama na kutaka kuanzisha CCJ, nan MNAFIKI!! Baada 6 kutetea ful kuiponda ponda mezani yetu pale Mjengon. "he is no Longer the One we used to knw"
Tupo pamoja mkuu hili ni jembe la ukweli. Hata mimi nilikuwa Tabora kwa bibi but nilihiyari kujichanga nije niwahamasishe masela tuliinue jembe letu thanks God likapita kwa kishindo pamoja na kuchakachuliwa. Sasahivi nafarijika sana ninapolitazama jembe langu kwenye TV, I wish ningekuwa Iringa ili furahayangu itimie. Well done Msigwa still together till the end of time. Don't give up the fight!!!Kwenye Red hapo. Huyu ni mbunge wangu na sijutii gharama niliyoitumia kutoka Kigoma Hadi Iringa kwa ajili ya kumpigia kura. Iringa tokea Tanzania ipate uhuru ndo tumepata mbunge sasa
dada yangu! leo walikuwa wana taka aminisha Jamii Et wanatibiwa kwny vizahanat vyetu, na misuli ya shingo inawatoka kabisa, then quotation ya hayati wanaipinga, et wanashaur hayati anukuliwe ktk maneno mazur tu aliyoyatoa. Hiki n kizaz cha dot.com tunaangalia matendo na si kusikiliza maneno.Ni aibu mno... i wish wangekua na utashu kila mmoja kwa nafsi yake waone walivyo tia aibu... sijui bunge linaelekea wapi... mwelekeo wake kuufikiria tu ni aibu na kusikitisha...
Ni aibu mno... i wish wangekua na utashu kila mmoja kwa nafsi yake waone walivyo tia aibu...
sijui bunge linaelekea wapi... mwelekeo wake kuufikiria tu ni aibu na kusikitisha...