#COVID19 Spika Ndugai achomwa chanjo ya COVID-19

#COVID19 Spika Ndugai achomwa chanjo ya COVID-19

Fanxudy

Member
Joined
Aug 1, 2021
Posts
47
Reaction score
63
ndugai.jpg

Japo na nesi kuvaa Gloves Mbona Kama mh. Kanuna ivi au anaumwa
 
haya mabomba ya sindano yataleta utata
ipo Clip ya Rais Samia baadhi wanakataa eti bomba halijavutwa likajaa
sasa mililitre za chanjo ni ngapi mpaka mtu azimie?
hebu jamani tukachanje, hizi chanjo 1m za Jansen wameongeza nyingine 11milioni zinakuja
 
Naishi kijijini, siendi mjini, sisafiri nje ya nchi, sipandi public transport. Chanjo ya nini?
 
Sasa waliokuwa wanakataa wanatumia wakiwa sehemu gani ya Tanzania?
 
Back
Top Bottom