Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa


Clowns at their best.

Acha waendelee kuifisidi nchi. Wanadai wanaimarisha uchumi huku wamekataa katakata kuhakikisha uwepo wa misingi imara ya usimamizi wa serikali.

Ndugai na bunge lake si chochote mbele ya Rais na mawaziri.
 
Kuna watu mliamua kujisajili kwa ujinga wa mwendazake. Dodoma ni seat of Government kama ilivyo Pretoria au Den Haag, na kwingineko. Dar es Salaam ni capital city, kama ilivyo Johannesburg, Amsterdam, Capetown, Bloemfontein na kwingineko.
 
Acha kunukuu Neno la Mungu kwa kuunga unga. Ayubu alisema nilikuwa macho kwa vipofu, mguu na mikono kwa vilema kwa maana ya roho nzuri na kutoa misaada lakini bado alipigika.


Nimeliungaungaje kwa mfano?
 
Watajuana wenyewe majizi hayo
Unadhani wanajali mkuu? Kwa hili namuunga mkono Ndugai kwa sababu kwa sasa hivi ni kama serikali ina ofisi mbili, Dodoma na Dar na gharama zote hizi ujue ni hizi hizi tozo unazokamuliwa. Wenyewe wanakwambia ukikipata kitumie maana hujui utatumbuliwa lini...
 
OVER 99% COUNTRIES WORLDWIDES STATE CITIES ZIPO PEMBEZONI MWA BAHARI ZIPO SABABU ZA KIUSALAMA HAPA NA SI BLAH BLAH.
Nairobi, Beijing na Pretoria? Wewe kichwa maji umekariri dar! Huko kujazana na kunuka mijasho kwenye madaradara! Dodoma ndo inafaa! Viongozi kili kubwa kama magu ndo wanafanya vitu vya kuonekana hao wanaojipendekeza kwa wananchi hamna kitu unafiki tu!
 
Ninacho kifikiri binafsi (namuunga mkono sana Spika Ndugai kwa hili ) ni kwamba viongozi wetu wanatunaga sisi wananchi ni mafala sana, yaani wanaongeza KODI kwenye bidhaa mbalimbali tunazozitumia, ile pesa inayokusanywa badala ya kuitumia vizuri wao wanachezea tu zile pesa, wangekua wanaongoza nchi za watu wenye AKILI lazima kingewaka but hata kama wanatudharau, basi walau watuonee hata HURUMA, pesa tunakusanya ni nyingi sana, matumizi ndio ya HOVYO namna hiyo, very sad
 
Ni walewale waliozuia matumizi kufuru kwenye matibabu yake huko India yasihojiwe, wanaendelea kwa taratibu zenu zilezile.
 
Akili za Ndugai zipo kisogoni nadhani,kuna kanuni ya kuzuia makongamano yasifanyike Dar?
 
Soon a murky coup may storm the throne; you must be very cautious when you see the tree branches swinging by the whirlwind exertion.

Singing and crying by unpredicted different tongues at the time being rather the mission is about to climax at its fading crown.

All patriotic Tanzanians are appealed irrespective of their difference to pray to the Almighty God to avoid the possible national catastrophe that may disrupt everything in place and making livelihoods by normal citizens devastated. Let's refrain from causing this to happen in Tanzania as this kind of tension is not the nation's core values to be cherished.
 
Clowns at their best.

Acha waendelee kuifisidi nchi. Wanadai wanaimarisha uchumi huku wamekataa katakata kuhakikisha uwepo wa misingi imara ya usimamizi wa serikali.

Ndugai na bunge lake si chochote mbele ya Rais na mawaziri.
Kuna taasisi moja ya Umma, Officer attendant analipwa salary ya 2.7m per month, Hii Nchi Inapigwa Sana Kumamae [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi nitaenda jela kwa ajili ya kukwepa kodi siwezi lipa pesa watu wanaitumia kiulaini halafu hawajali chochote
 
Mimi nitaenda jela kwa ajili ya kukwepa kodi siwezi lipa pesa watu wanaitumia kiulaini halafu hawajali chochote
Watu wanajilipa laki2 Kwa kikao tu ofsn [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nauona mnara wa babeli

Bwashee mkumbushe Ndugai kuwa Rais ndiye anayeamua makao makuu ya nchi yawe wapi kwa wakati gani. Kesho akiamua kuitisha kikao cha baraza la mawaziri (JMT) pale Kisiwandui au Kilindoni yote ni heri; hahojiwi.

Halafu matumizi ya serikali hayamhusu pia. Rais ana maono na hekima za kutosha.
 
ukweli Dodoma bado haina hadhi ya kua makao makuu sema tu siasa ndio zilizotufikisha hapo.Unaenda mtumba watu wapo tu hawana kazi za kufanya mfano ni wizara ya ardhi,uchukuzi,fedha watumishi wanalipwa mishahara bila kazi za kufanya.Angalau watu wa Tamisemi ndio wako busy kwa kua shughuli zao ni za kiutawala zaidi.
 
nchi hii kwa sasa haina muelekeo. kila mtu anafanya anavyojisikia, rais yupo kimya hafuatilii mambo. kwa hali hii tozo haziwezi ondolewa maana miradi inatakiwa iende na watu walipane posho za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…